Sunday, October 31, 2010

PIA TUNAUZA JUMLA NA REJAREJA

Pia tunauza vitenge hivi kwa jumla na rejareja....ili kuwa karibu na wateja wetu tunatoa punguzo maalum kwa watakaonunua vitenge kuanzia 5 na kuendelea..tutauza kwa bei ya jumla ambayo ni nafuu zaidi....bejasafricanwear@yahoo.com.pia wasiliana na sisi kwa simu za mkononi zilizopo kwenye profile yetu.mzigo unakufikia popote ulipo kwa gharama ile ile.

2 comments:

  1. The cotton fabric is great and the colors of the garments are unique
    Imani Kabetha.
    USA

    ReplyDelete