Friday, October 29, 2010

''''MIZIGO MIPYA INAZIDI KUINGIA KARIBUNI WOTE'''


pia mashati mazuri ya kiume yalioshonwa kwa vitenge hivi hivi vya congo,yanapatikana BEJAS.wasiliana nasi

2 comments:

  1. kama inawezekana mngeweka sample ya rangi zote mlizo nazo, mkazielezea atlist to material levo, kama ni kotoni etc...ilikwaajili ya watu ambao hawako dar wawe wanauwezo wa kuchagua uku kwenye blog yenu mkawatumia na sio mpaka waje dar. nadhani itawasaidia kutanua biashara yenu....ila nimevipenda sana!!

    ReplyDelete
  2. asante andrew kwa mawazo yako mazuri..tulikua tuna tazamia kufanya hivyo ili iwe rahisi kwa wateja waliokua nje ya dar kuchagua kama unavyosema.tutalitendea kazi hivi punde.thnx 4 ur concern..keep in touch with Bejas

    ReplyDelete